Inapakia...
Inapakia...
Maendeleo Yenye Busara na Uwiano
Injili ya Sayansi haiko kinyume na teknolojia, ila inahamasisha busara pana zaidi katika kuenda sambamba na teknolojia. Katika timu ya Injili ya Sayansi kuna wataalamu wa fizikia, na mainjinia ambao wapo mstari wa mbele katika kuhamasisha maendeleo mapana ya teknolojia. Tunalenga maendeleo ya teknolojia yanayoenda sambamba kabisa na ustawi wa afya za binadamu na mazingira.
Wataalamu wa fizikia, uhandisi, na teknolojia ya habari
Wataalamu wa fizikia wanaofundisha na kueleza sheria za asili kwa uelewa wa kina
Soma ZaidiWahandisi wanaokukuza ubunifu na maendeleo yenye hekima na uwiano
Soma ZaidiWataalamu wa IT wanaosaidia katika huduma za kimtandao na maudhui ya kidijitali
Soma ZaidiTunaamini katika maendeleo ya teknolojia yanayotanguliza afya ya binadamu na mazingira. Teknolojia ni chombo kizuri, lakini inahitaji kuongozwa na busara na hekima ili iweze kujenga jamii yenye ustawi na amani.
Tunatoa huduma mbalimbali za kisayansi na kiteknolojia kwa jamii.
Elimu ya fizikia
Mafunzo ya uhandisi
Huduma za kidijitali
Tathmini ya teknolojia mpya
Ushauri wa teknolojia yenye busara
Watu bora walio katika mstari wa mbele katika sayansi na teknolojia
Fizikia
Anafundisha na kuwafungua akili vijana katika ulimwengu wa fizikia na sheria za asili
BSc Kilimo SUA, Teknolojia na Graphics
Mtaalamu wa teknolojia na graphics anayochangia katika maendeleo ya kidijitali
IT, Mobile Developer na Graphics Design
Mtaalamu wa IT anayojenga programu za simu na kubuni michoro ya kidijitali
Pata elimu ya kisayansi kuhusu teknolojia yenye busara kutoka kwa wataalamu wetu.