UONGOZI NA WANACHAMA WA INJILI YA SAYANSI
Timu ya uongozi yenye uzoefu na maarifa yanayoendesha Injili ya Sayansi kuelekea mafanikio. Viongozi wetu wanashiriki kwa kusaidia shughuli zote za taasisi.
Wanachama Jumla
Uongozi Mkuu
Wanachama wa Timu
Injili ya sayansi imejikita kutoa masomo mbalimbali kivitendo kuhusiana na Elimu ya kweli na Malezi. Katika Kitengo cha Elimu na Malezi; Injili ya sayansi inashirikiana na wasomi mbalimbali wenye motisha ya kusaidia jamii zao kwa kutoa Elimu bora nje na mfumo tegemezi wa elimu. Malengo ya injili ya sayansi ni kutengeneza kizazi ambacho kitakuwa na Elimu ya kujitegemea.
Malengo na mipango ya viongozi wakuu wa Injili ya Sayansi katika kuendesha taasisi.
Soma ZaidiMalengo na mipango ya Timu ya Injili ya Sayansi katika kufanikisha shughuli zake.
Soma ZaidiViongozi watatu wakuu wa Injili ya Sayansi wanaoongoza taasisi kwa uwezo na bidii.

Mwanzilishi & Mwenyekiti
Tiba ya Wanyama, Sayansi za Ubongo, Tiba Asili
Ni daktari wa wanyama toka Chuo Kikuu cha Sua, Morogoro. Muda wake mwingi zaidi amejikita katika kusoma, kufuatilia, na kutafiti sayansi za Ubongo, Biofizikia, na Historia za jamii za watu,...

Katibu Mkuu
Elimu ya Sayansi, Fizikia na Kemia
Ni Mhitimu wa Shahada ya Sayansi na Elimu toka Chuo Kikuu cha UDISM DUCE, Tanzania. Mwalimu Wyclife ni Mdadisi na mwenye shauku Mahususi katika sayansi za Fizikia na Kemia. Wyclife...

Mhazini
Afya ya Jamii, Bioteknolojia
Ni mtafiti wa kina na mwandishi anayependa uchunguzi wa maswali magumu ya kifalsafa ya maisha kupitia sayansi, akili, na tafakuri binafsi. Ni msomi wa Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa...
Wanachama wa Injili ya Sayansi wanaoshiriki kwa kusaidia shughuli zetu na kufikia malengo ya pamoja. Bonyeza "Ona Maelezo Kamili" kujua zaidi kuhusu kila mwanachama.

Mwanachama & Mhamasishaji
Ni kijana mbunifu na mwenye dira, mwenye shahada ya Sayansi ya Mazao (BSc. Horticulture) kutoka Chuo Kikuu cha...

Mwanachama
Ni Kijana mpambanaji mwenye historia ndefu sana ya kazi ngumu za kutumia misuli. Ametembea maiko mbalimbali Nchini Tanzania,...

Mwanachama & Mhamasishaji
Ni Daktari wa Tiba ya Wanyama na mwandishi wa kitabu cha 'Kiongozi na Uongozi', ameweka jitihada kubwa katika...

Mwanachama
Ni Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Shirika la PUANAY, taasisi isiyo ya kiserikali inayoongozwa na jamii, yenye makao yake...

Mwanachama
Ni Mhitimu wa shahada ya kwanza katika fani ya Uchumi Kilimo, na Kilimo Biashara (Bsc Agricultural Economics and...

Mwanachama
Ni mhitimu wa shahada ya Kwanza katika fani ya uhandisi wa majengo (Bsc. Civil engineering) kutoka chuo kikuu...

Mwanachama
Ni Muhasibu, au msimamizi wa fedha (Banking and Finance). Edward pia ni mjasiriamali wa kujiwekeza binafsi kwa biashara...

Mwanachama
Ni kijana mwenye miaka 24, Ni Mchungaji katika kanisa la Waadventista wa Sabato, Ni Bible Instructor katika taasisi...

Mwanachama
Ni Daktari wa Binadamu 'MD' toka Chuo Kikuu cha UDISM, tawi la Mbeya. Historia ya Daniel Kateshi kabla...

Mwanachama
Daktari Edson Silvesta Kavenuke ni Kijana mwenye umri wa miaka 26, Ni Mtaalamu wa masuala ya afya ya...

Mwanachama
Ni Daktari wa Tiba ya Wanyama aliyehitimu kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA). Ni mdau wa...

Mwanachama
Dr. David Charles Manyerere, ni Daktari wa wanyama toka Chuo Kikuu cha Sua, Morogoro. Ni Mwandishi na mwanzilishi...

Mwanachama
Ni kijana Mwenye Umri wa miaka 26, Amesomea Maswala ya Afya ya Binadamu Kitengo Cha Uuguzi Na Ukunga...

Mwanachama
Ni kijana ambaye maisha yake ameamua kujitoa kutoka kutegemea Mifumo mikubwa ya Kiuchumi kama Serikali, na taasisi kubwa;...

Mwanachama
Daudi Mkote ni Mwalimu wa Nursery ambaye toka amalize Certificate ya Taaluma yake toka Chuo cha St. Joseph,...

Mshauri
Mr Evarist ni Mzee wa Pekee sana katika injili ya sayansi. Kwa Umri ana miaka 70, lakini maisha...

Mwanachama
Lilian Shoo ni Mama wa pekee sana katika familia ya injili ya sayansi. Hakuna namna ya kumuelezea zaidi...

Mwanachama
Majaliwa ni Msomaji na mwinjilisti wa vitabu, hutumia muda wake mwingi sana kusambaza vitabu. Kwa taaluma Majaliwa ni...

Mwanachama
Mdau mkubwa wa sayansi pamoja na teknolojia na mhitimu wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shahada ya...
Jiunge na Injili ya Sayansi au uliza maswali yoyote kuhusu shughuli zetu.